Meneja
Huduma za Jamii wa Benki ya Absa Tanzania, Bi. Abigail Lukuvi ( wa pili
kushoto) , Mwanafunzi wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Crispian Thomas
na Mkuu wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Sezaria Kiwango wakikata utepe
kuashiria uzinduzi wa kisima kilichojengwa na wafanyakazi wa benki hiyo
jijini Dar es Salaam jana. Ni mwendelezo wa wafanyakazi wa benki hiyo
kufanya huduma za kijamii katika shule hiyo Kwa takriban miaka mitatu
sasa. Kutoka Kushoto ni Mameneja Rasilimali Watu wa benki hiyo, Bw.
Hance Mapunda na Bi. Anna Chacha.
Mkuu wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko, Bi. Sezaria Kiwango (kulia), akikabidhi cheti cha shukurani kwa maofisa wa Benki ya Absa Tanzania, mara baada ya kupokea msaada wa kisima Cha maji kilichojengwa na wafanyakazi hao, katika hafla iliyofanyika shuleni hapo, Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment