Monday, November 11, 2024

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo  na Katibu  Mkuu wa Jumuiya ya Afrika  Mashariki, Bi. Veronika Mueni Nduva, alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Novemba, 2024 ikiwa ni mara ya kwanza kukutana nae tangu Katibu Mkuu huyo aliposhika nafasi hiyo  mwezi Juni, 2024.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...