Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Mradi wa
Uchakataji Maji Taka uliopo Somangira NAFCO akiwa katika ziara ya
wilaya ya Kigamboni Mkoani Dar es salaam, Oktoba 6, 2024. Wa pili
kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Wanachama wa Jukwaa
la Wajane Wilaya ya Kigamboni ambao walijitokeza kushiriki katika tukio
la Waziri Mkuu kukagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mkoa wa Dar es
salaam eneo la Somangira NAFCO wilaya ni Kigamboni Oktoba 6, 2024.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na
Wanachama wa Jukwaa la Wajane Wilaya ya Kigamboni ambao walijitokeza
kushiriki katika tukio la Waziri Mkuu kukagua ujenzi wa Shule ya
Sekondari ya Mkoa wa Dar es salaam eneo la Somangira NAFCO wilaya ni
Kigamboni Oktoba 6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika
viwanja vya Mjimwema akiwa katika ziara ya wilaya ya Kigamboni mkoani
Dar es salaam, Oktoba 6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye Viwanja vya Mjimwema akiwa
katika ziara ya wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es salaam, Oktoba 6,
2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MAKATIBU WAKUU WAKAGUA AICC MAANDALIZI YA MWISHO MKUTANO WA IPU, ARUSHA
Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali pamoja na Kamati ya Wataalamu ya Maandalizi ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), wamefan...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
-
Nadhani mtakumbuka kibwagizo maarufu katika TV ambacho kinaimbwa perupe pepero perupe pepero hawa ni vijana wa Sisi Tambala waliokuwapo kati...
-
Mdau Julius Samwel hivi karibuni alikuwa huko Mwanza na hizi ndizo alizofanikiwa kutumegea, wadau hebu someni hicho kibao mniambie kuna nini...









No comments:
Post a Comment