PICHA ZA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu
Hassan leo October 14,2024 ameshiriki ibada ya Misa takatifu ya
kumbukizi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
katika Kanisa la Mt.Francis Xavier Nyakahoga Mkoani Mwanza leo October
14 2024.
Comments