Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.
Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) akihutubia kwenye Mdahalo wa kwanza wa
Amani na Usalama Afrika (APSD) ulioandaliwa na Taasisi ya Thabo Mbeki
uliofanyika jijini Johannesburg, nchini Afrika Kusini.Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Mhe. James G. Bwana
akifuatilia Mdahalo wa kwanza wa Amani na Usalama Afrika (APSD)
ulioandaliwa na Taasisi ya Thabo Mbeki uliofanyika jijini Johannesburg,
nchini Afrika Kusini. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Afrika
katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt.
Bertha Makilagi.Rais wa zamani wa Afika Kusini Mhe. Thabo Mbeki akichangia jambo
kwenye Mdahalo wa kwanza wa Amani na Usalama Afrika (APSD) ulioandaliwa
na Taasisi ya Thabo Mbeki jijini Johannesburg, nchini Afrika Kusini.Mkutano ukiendelea
Comments