Wednesday, March 21, 2018

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU WA KAMPUNI YA TIGO, PIA AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA KAMPUNI YA FERROSTAAL KUTOKA UJERUMANI NA DENMARK IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mauricio Ramos Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Millicom International Service LLC (wanne kutoka kushoto)ambayo inamiliki Kampuni ya simu ya Tigo aliyefika Ikulu pamoja na ujumbe wake.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Watendaji Wakuu wa Kampuni ya FERROSTAAL kutoka nchini Ujerumani na Denmark Ikulu jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Balozi wa Denmark Einar Hebogard Jensen aliyeongoza Ujumbe wa Kampuni hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.  (PICHA NA IKULU)

No comments:

RC ARUSHA APOKEA UJUMBE WA MABUNGE DUNIANI (IPU)

  . Kufanya Mkutano wa Mabunge Mkoani Arusha  .Wajumbe zaidi ya 1500 kutoka nchi wanachama wa IPU kuhudhuria  . Rais Dkt. Samia apendekezwa ...