MBUNGE ROSE TWEVE KUWAWEZESHA WANAWAKE WA UWT MKOA WA IRINGA

 Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Rose tweve akiwa na Naibu Katibu Mkuu bara wa umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi (UWT) Taifa, Eva Kihwele pamoja nakatibu wa umoja wa wanawake wa CCM (UWT) wilaya ya Kilolo Judith Laizer wakiangalia shughuli zinazofanywa na vikundi vya wanawake wa UWT tarafa ya mazombe

Comments