BALOZI MAAJAR AWATAKA KINA MAMA KUWA MAJASIRI KATIKA KUPIGANIA HAKI ZAO

Balozi Mstaafu wa Tanzania nchini Uingereza na Marekani Mwanaidi
Majaar akitoa mada kuhusiana na kuthaminiwa kwa mchango wa wanawake katika jamii kwani wanabeba majukumu mazito ikiwamo ya nyumbani pamoja na majukumu ya ofisini, alitoa mada hiyo kwa wafanyakazi wa Shirika mwishoni kwa wiki. Balozi Maajar aliwataka kina mama kuwa majasiri katika kupigania haki zao mahala popote walipo huku wakiwashirikisha wanaume katika kufikia maamuzi endelevu ya jamii. Alisema kina mama hubeba majukumu mazito ya kifamilia jambo ambalo kama hawatoangalia vizuri linachangia kuwavuta nyuma kimaendeleo.

Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika mla Nyumba la Taifa waliohudhuria semina iliyotolewa na Balozi Mstaafu wa Tanzania nchini Uingereza na Marekani Mwanaidi
Majaar aliyoitoa mwishoni mwa wiki kuhusu kuthaminiwa kwa mchango wa wanawake katika jamii.

 Balozi Mstaafu wa Tanzania nchini Uingereza na Marekani Mwanaidi
Majaar akitoa mada kuhusiana na kuthaminiwa kwa mchango wa wanawake katika jamii kwani wanabeba majukumu mazito ikiwamo ya nyumbani pamoja na majukumu ya ofisini, alitoa mada hiyo kwa wafanyakazi wa Shirika mwishoni kwa wiki.

Comments