Monday, November 17, 2008

mgomo wa walimu noma


PPichani wanafunzi wa shule ya msingi, Kiranyi na Unyuata wilayani Arumeru wakiwa wanacheza ovyo baada ya walimu wao kuanza mgomo jana.
picha na mussa juma


1 comment:

Fadhy Mtanga said...

Charahani,
suala la mgomo wa walimu ni doa kubwa sana katika utawala wetu. Ni doa kubwa kwa kuwa walimu hawapewi umuhimu na tawala zetu.
Ni lazima tukiri, kuna mapungufu makubwa katika mfumo wetu wa uongozi.
Kama ndani ya wiki moja, inatokea migomo miwili mikubwa inayogusa wizara moja, lazima tujiulize mara mbili. Lazima tuubaini walakini katika kadhia hii.
Tunajisahau na kujivika kiburi na kuidharau sekta ya elimu.
Kama walimu wanafikia hatua hii. Watendaji wapo wapi?
Wao ndo wanaotakiwa kushushwa vyeo, na wala siyo walimu.
Tuamke sasa.