Wafanyakazi waandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa wamehitimu shahada zao za Uzamili za Kozi mbalimbali za Chuo Kikuu cha Mzumbe ambapo Veronica Mtemi ametunukiwa Shahada ya Uzamili ya Utawala (Master in Public Administration), Michael Chilongani ametunukiwa Master in Procurement and Supply Chain Management na Ritha Mokimirya ametunukiwa Master of Business Administration in Corporate Management.
Subira Nkato ametunukiwa Master of Business Administration in Corporate Management katika mahafali ya 17 ya Chuo kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam, yaliyofanyika tarehe 30 Novemba 2018, katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere International Convention Centre
Veronica Mtemi ametunukiwa Shahada ya Uzamili ya Utawala (Master in Public Administration), Michael Chilongani ametunukiwa Master in Procurement and Supply Chain Management na Ritha Mokimirya ametunukiwa Master of Business Administration in Corporate Management.
Mkadiriaji Majenzi Benedictor Wazaelly ametunukiwa shahada ya uzamili ya Sayansi ya Chuo cha IFM ya MSc in Finance and Investment.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KAMISHNA BADRU ATAKA UBUNIFU ILI KUENDELEZA MAPANGO YA AMBONI
KAMISHNA BADRU ATAKA UBUNIFU ILI KUENDELEZA MAPANGO YA AMBONI Na Hamis Dambaya, Amboni Tanga. Kamishna wa Uhifadhi Mamlaka ya Hifadhi ya Ng...

-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Mwanamuziki toka Jamhuri ya KIdemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akitumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. Picha na Jube Tranquil...
2 comments:
louboutin outlet
adidas tubular
vans shoes
kyrie 5
calvin klein outlet
yeezy 500 blush
russell westbrook shoes
nike shox for women
yeezy shoes
goyard bags
replica bags high quality replica bags high quality replica nappy bags
Post a Comment