Friday, November 16, 2018

WAZIRI LUKUVI AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA NHC

 Waziri wa Ardhi,  Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  William Vangimembe Lukuvi akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa,  Dk.  Maulidi Banyani kwenye Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha leo.
Waziri amefurahishwa na michakato mbalimbali inayoendelea ndani ya Shirika na ameagiza jitihada zaidi zifanyike ili kuwa na ujenzi wa nyumba za gharama nafuu kwaajili ya Watanzania wengi zaidi. Kufuatilia mikataba yote ya Shirika iwe na maslahi kwa Taifa.


Waziri wa Ardhi,  Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  William Vangimembe Lukuvi akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa,  Dk.  Maulidi Banyani kwenye Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha leo.
Waziri amefurahishwa na michakato mbalimbali inayoendelea ndani ya Shirika na ameagiza jitihada zaidi zifanyike ili kuwa na ujenzi wa nyumba za gharama nafuu kwaajili ya Watanzania wengi zaidi.

1 comment:

Anonymous said...

replica bags paypal my response z2u92z4q77 replica bags turkey replica bags koh samui replica gucci d7f61e7q59 replica bags replica bags on amazon hermes replica w4d58h6g68 replica prada nylon bags

WANANCHI 216 WAKABIDHIWA HATI MILIKI WILAYANI MASWA

Ofisi ya Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Simiyu, leo imeendesha zoezi la kugawa jumla ya hati miliki 216 kwa wananchi wa Wilaya ya Maswa....