WAZIRI LUKUVI AFUNGUA MAONYESHO YA BUILDEXPO AFRICA 2018 ATOA OFA KWA WATAKAOJENGA VIWANDA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akikata utepe kuashiria kufungua rasmi maonyesho ya Maonyesho ya Kimataifa ya 21 ya Build Expo ya siku tatu yalioanza leo na kuhitimishwa Jumamosi.
Maonyesho hayo yanawashirikisha kampuni mbalimbali za kimataifa zinazotengeneza vifaa vya ujenzi na samani za ndani pamoja na wadau wa sekta ya ujenzi kutoka mataifa 30 na wageni kutoka nchi zote za Afrika Mashariki na Kati inayowapa washiriki fursa nzuri ya kuzifikia kampuni za nchi zote hizo kwa mara moja.
Akifungua maonyesho hayo Waziri Lukuvi ametoa wito kwa makampuni ya vifaa vya ujenzi ya ndanina nje kujenga viwanda ili kusaidia sekta ya nyumba kukuana kuwa ya nafuu, pia alieleza kuwa Serikali kupitia Wizara ya Ardhi itatoa viwanja bure kwa watakaokuwa tayari kujenga viwanda hivyo. 
Pia yeyote ambaye anaweza kuwekeza katika ujenzi wa nyumba akishirikiana na Shirika la Nyumba la Taifa kwani lenyewe lina maeneo mengi nchini Tanzania

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akikata utepe kuashiria kufungua rasmi maonyesho ya kimataifa ya 21 yanayofanyika siku tatu kwenye Ukumbi maarufu wa Diamond Jubilee yaliyoanza leo na kuhitimishwa Jumamosi. Kushoto kwa Waziri ni Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Dan Kazungu.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akizungumza wakati wa kufungua rasmi maonyesho ya kimataifa ya 21 yanayofanyika siku tatu kwenye Ukumbi maarufu wa Diamond Jubilee yaliyoanza leo na kuhitimishwa Jumamosi. 

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akikata akitembelea banda la maonyesho la Kampuni ya KNAUF baada ya kufungua rasmi maonyesho ya kimataifa ya 21 yanayofanyika siku tatu kwenye Ukumbi maarufu wa Diamond Jubilee yaliyoanza leo na kuhitimishwa Jumamosi. Kushoto kwa Waziri ni Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Dan Kazungu.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akimwelekeza jambo Wilson Sanane wa Kampuni ya vifaa vya ujenzi ya 64Door Factory baada ya kufungua rasmi maonyesho ya kimataifa ya 21 yanayofanyika siku tatu kwenye Ukumbi maarufu wa Diamond Jubilee yaliyoanza leo na kuhitimishwa Jumamosi. 

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akikagua vifaa vya ujenzi baada ya kufungua rasmi maonyesho ya kimataifa ya 21 yanayofanyika siku tatu kwenye Ukumbi maarufu wa Diamond Jubilee yaliyoanza leo na kuhitimishwa Jumamosi.

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mauzo wa NHC, Stephen Mrema (hayuko pichani) wa  baada ya kufungua rasmi maonyesho ya kimataifa ya 21 yanayofanyika siku tatu kwenye Ukumbi maarufu wa Diamond Jubilee yaliyoanza leo na kuhitimishwa Jumamosi.
  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mauzo wa NHC, Stephen Mrema  baada ya kufungua rasmi maonyesho ya kimataifa ya 21 yanayofanyika siku tatu kwenye Ukumbi maarufu wa Diamond Jubilee yaliyoanza leo na kuhitimishwa Jumamosi.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akizungumza na waandaaji wa maonyesho kabla ya kufungua rasmi maonyesho ya kimataifa ya 21 yanayofanyika siku tatu kwenye Ukumbi maarufu wa Diamond Jubilee yaliyoanza leo na kuhitimishwa Jumamosi.

 Kikindi cha hamasa kikiendelea na uhamasishaji wakati wa ufunguzi wa maonyesho hayo.

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akiwasili katika eneo la tukio kabla ya kufungua rasmi maonyesho ya kimataifa ya 21 yanayofanyika siku tatu kwenye Ukumbi maarufu wa Diamond Jubilee yaliyoanza leo na kuhitimishwa Jumamosi.

 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akijadiliana jambo na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Dan Kazungu.
 Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Dan Kazungu akizungumza na hadhara wakati wa ufunguzi wa maonyesho hayo.

Comments