Friday, February 16, 2018

WAFANYAKAZI SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA WAFAIDIKA NA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI SIDO

Meneja wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) mkoa wa Dar es Salaam Macdonald Maganga akitoa mada ya "NAMNA YA KUWA MJASIRIAMALI" ikiwa ni suluhu ya kuweza kujimudu kuwa mjasiriamali kivitendo na kuweza kujiendeleza kimaisha.

Dk Yotham Mackenzie wa Shirika la Nyumba la Taifa akihitimisha na kuwashkuru wawekezaji kutoka Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) mkoa wa Dar es Salaam baada ya ku mada ya "NAMNA YA KUWA MJASIRIAMALI" ikiwa ni suluhu ya kuweza kujimudu kuwa mjasiriamali kivitendo na kuweza kujiendeleza kimaisha.
Sehemu ya Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa kutoka idara mbalimbali wakifuatilia mafunzo yaliyokuwa yakitolewa na Meneja wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) mkoa wa Dar es Salaam Macdonald Maganga aliyekuwa akitoa mada ya "NAMNA YA KUWA MJASIRIAMALI" ikiwa ni suluhu ya kuweza kujimudu kuwa mjasiriamali kivitendo na kuweza kujiendeleza kimaisha.
 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa kutoka idara mbalimbali wakifuatilia mafunzo yaliyokuwa yakitolewa na Meneja wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) mkoa wa Dar es Salaam Macdonald Maganga aliyekuwa akitoa mada ya "NAMNA YA KUWA MJASIRIAMALI" ikiwa ni suluhu ya kuweza kujimudu kuwa mjasiriamali kivitendo na kuweza kujiendeleza kimaisha.

Sehemu ya wawezeshaji wakiongozwa za Meneja wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) mkoa wa Dar es Salaam Macdonald Maganga aliyekuwa akitoa mada ya "NAMNA YA KUWA MJASIRIAMALI" ikiwa ni suluhu ya kuweza kujimudu kuwa mjasiriamali kivitendo na kuweza kujiendeleza kimaisha.
 Sehemu ya Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa kutoka idara mbalimbali wakifuatilia mafunzo yaliyokuwa yakitolewa na Meneja wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) mkoa wa Dar es Salaam Macdonald Maganga aliyekuwa akitoa mada ya "NAMNA YA KUWA MJASIRIAMALI" ikiwa ni suluhu ya kuweza kujimudu kuwa mjasiriamali kivitendo na kuweza kujiendeleza kimaisha.

No comments:

TANZANIA IMEJENGWA KWA MISINGI IMARA YA AMANI NA UZALENDO-MAJALIWA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania imejengwa kwa misingi imara ya amani, uzalendo na maadili mema ambayo yameasisiwa na vion...