SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHI MAJENGO MAWILI YENYE SEHEMU ZA MAKAZI 40 KWA BOT MAKAO MAKUU DODOMA
Mkurugenzi wa Kanda ya Kati wa Benki Kuu ya Tanzania, Harry Mwansembo akiwa ameongozana na Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma, Joseph John pamoja na Meneja wa Miliki wa BOT , Deogratius Wambura kuelekea katika majengo ya makazi ya NHC Medeli mjini Dodoma ambayo yalijengwa na kuuzwa kwa Benki Kuu kwajili ya makazi ya watumishi wa Benki hiyo waliohamia Makao Makuu ya Nchi Dodoma. Majengo hayo yenye sehemu za makazi 40 yamekabidhiwa rasmi kwa BoT.
Mkurugenzi wa Kanda ya Kati wa Benki Kuu ya Tanzania, Harry Mwansembo akiwa ameongozana na Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma, Joseph John pamoja na Meneja wa Miliki wa BOT , Deogratius Wambura kuelekea katika majengo ya makazi ya NHC medeli ambayo yameuzwa kwa Benki Kuu kwajili ya makazi ya watumishi wa Benki hiyo waliohamia Makao Makuu ya Nchi Dodoma. Majengo hayo yamekabidhiwa rasmi kwa BoT.
Makabidhiano ya majengo ya makazi ya NHC medeli ambayo yamejengwa na kuuzwa kwa Benki Kuu kwajili ya makazi ya watumishi wa Benki hiyo waliohamia Makao Makuu ya Nchi Dodoma yamefanyika leo baina ya taasisi mbili hizo. Majengo hayo yamekabidhiwa rasmi kwa BoT.
Makabidhiano ya majengo ya makazi ya NHC Medeli ambayo yamejengwa na kuuzwa kwa Benki Kuu kwajili ya makazi ya watumishi wa Benki hiyo waliohamia Makao Makuu ya Nchi Dodoma yamefanyika leo baina ya taasisi mbili hizo. Majengo hayo yamekabidhiwa rasmi kwa BoT.Uongozi wa BoT ukikabidhiwa sehemu ya tanki la maji yanayotumika kwaaji ya wakazi wa eneo hilo. Makabidhiano ya majengo ya makazi ya NHC medeli ambayo yamejengwa na kuuzwa kwa Benki Kuu kwajili ya makazi ya watumishi wa Benki hiyo waliohamia Makao Makuu ya Nchi Dodoma yamefanyika leo baina ya taasisi mbili hizo. Majengo hayo yamekabidhiwa rasmi kwa BoT.
Uongozi wa BoT ukikabidhiwa sehemu ya tanki la maji yanayotumika kwaaji ya wakazi wa eneo hilo. Makabidhiano ya majengo ya makazi ya NHC medeli ambayo yamejengwa na kuuzwa kwa Benki Kuu kwajili ya makazi ya watumishi wa Benki hiyo waliohamia Makao Makuu ya Nchi Dodoma yamefanyika leo baina ya taasisi mbili hizo. Majengo hayo yamekabidhiwa rasmi kwa BoT.
Muonekano wa nje wa majengo yaliyokabidhiwa kwa BoT kwaajili ya kuishi wafanyakazi wao. Majengo hayo mawili yenye sehemu za makazi 40 yamekabidhiwa rasmi kwa BoT.
Muonekano wa nje wa majengo yaliyokabidhiwa kwa BoT kwaajili ya kuishi wafanyakazi wao. Majengo hayo mawili yenye sehemu za makazi 40 yamekabidhiwa rasmi kwa BoT.
Makabidhiano ya majengo ya makazi ya NHC Medeli ambayo yamejengwa na kuuzwa kwa Benki Kuu kwajili ya makazi ya watumishi wa Benki hiyo waliohamia Makao Makuu ya Nchi Dodoma yamefanyika leo baina ya taasisi mbili hizo. Majengo hayo yamekabidhiwa rasmi kwa BoT.
Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoani Dodoma akizungumza wakati wa makabidhiano hayo. Makabidhiano ya majengo ya makazi ya NHC Medeli ambayo yamejengwa na kuuzwa kwa Benki Kuu kwajili ya makazi ya watumishi wa Benki hiyo waliohamia Makao Makuu ya Nchi Dodoma yamefanyika leo baina ya taasisi mbili hizo. Majengo hayo yamekabidhiwa rasmi kwa BoT.
Comments