Thursday, February 08, 2018

NYUMBA ZA MAKAZI NHC MWONGOZO BEACH ESTATE ZAKAMILIKA

Timu ya wataalamu wa Shirika la Nyumba la Taifa wakikagua umaliziaji wa hatua za mwisho mwisho nyumba za Mwongozo Beach Estate zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa na kuuzwa kwa wananchi.

Afisa Mwandamizi wa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Joseph Haule akikagua umaliziaji wa hatua za mwisho mwisho nyumba za Mwongozo Beach Estate zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa na kuuzwa kwa wananchi.
Timu ya wataalamu wa Shirika la Nyumba la Taifa wakikagua umaliziaji wa hatua za mwisho mwisho nyumba za Mwongozo Beach Estate zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa na kuuzwa kwa wananchi.
Mwonekano wa nje wa nyumba za Mwongozo Beach Estate zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa na kuuzwa kwa wananchi. Nyumba hizo zimewekewa mitaro ya kupitishia maji ya mvua, barabara pana za kutosha na mfumo wa kisasa wa kupitisha maji taka.

No comments:

RAIS SAMIA AKUTANA NA ALIKO DANGOTE; AENDELEA KUFUNGUA MILANGO YA FURSA ZA UWEKEZAJI TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ...