Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akipokea hundi ya shilingi milioni 178,488,00/- kutoka kwa Balozi wa
China nchini Mhe. Wang Ke kwa ajili ya ujenzi wa bweni la wasichana
katika shule ya Sekondari Nkoma iliyopo Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu.
Balozi
wa China nchini Mhe. Wang Ke akimkabidhi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Vyerehani 50 kwa ajili
halmashauri ya mji wa Bariadi ili kuanzisha Kiwanda cha Ushonaji.Picha
na Ofisi ya Makamu wa Rais.
Comments