MWENYEKITI WA BODI YA NHC AAGIZA KUPANDWE MITI KATIKA MIRADI YOTE YA NHC INAYOTEKELEZWA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akiwaelekeza jambo Wakurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa katika eneo la NHC Mtaa wa Indira Gandhi. Wakurugenzi hao wa Bodi ya Shirika walikuwa katika ziara ya siku moja kutembelea miradi mbalimbali ya Shirika ili kuifahamu kwaajili ya mustakabali bora wa Shirika. Katika ziara hiyo Mwenyekiti wa Bodi Blandina Joseph Nyoni amefurahishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya NHC na akaagiza upandaji miti na utunzaji mazingira katika miradi ya NHC kokote inayojengwa ili kuwa na madhari zenye kuvutia na kutunza mazingira. 
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akiwaelekeza jambo Wakurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa katika eneo la NHC Mtaa wa Indira Gandhi. Wakurugenzi hao wa Bodi ya Shirika walikuwa katika ziara ya siku moja kutembelea miradi mbalimbali ya Shirika ili kuifahamu kwaajili ya mustakabali bora wa Shirika.
 Jengo la Ubia kati ya Oilcom na NHC lilijengwa katika barabara ya Magore linavyoonekana pichani ni miongoni mwa majengo ya Ubia yaliyotembelewa na Wakurugenzi wa Bodi jana.
  Jengo la Ubia kati ya Oilcom na NHC lilijengwa katika barabara ya Magore linavyoonekana pichani ni miongoni mwa majengo ya Ubia yaliyotembelewa na Wakurugenzi wa Bodi jana.
Eneo la NHC Mtaa wa Indira Gandhi lililotembelewa jana na Wakurugenzi wa Bodi. Wakurugenzi hao wa Bodi ya Shirika walikuwa katika ziara ya siku moja kutembelea miradi mbalimbali ya Shirika ili kuifahamu kwaajili ya mustakabali bora wa Shirika.

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Maagi akiwaelekeza jambo Wakurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa katika eneo la NHC Mtaa wa Indira Gandhi. Wakurugenzi hao wa Bodi ya Shirika walikuwa katika ziara ya siku moja kutembelea miradi mbalimbali ya Shirika ili kuifahamu kwaajili ya mustakabali bora wa Shirika.
Meneja wa Miradi ya Ubia wa Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Gudadi akifafanua jambo mbele ya Mwenyekiti wa Bodi wa NHC, Blandina Nyoni wakati wa ziara ya Wakurugenzi hao 
 Eneo la NHC Mtaa wa Indira Gandhi lililotembelewa jana na Wakurugenzi wa Bodi. Wakurugenzi hao wa Bodi ya Shirika walikuwa katika ziara ya siku moja kutembelea miradi mbalimbali ya Shirika ili kuifahamu kwaajili ya mustakabali bora wa Shirika.

Wakurugenzi wa Bodi na baadhi ya wafanyakazi wa NHC wakiingia katika eneo la Mtoni Kijichi linalomilikiwa na Jumuiya ya Ismailia ambalo lipo katika mpango wa kubadilishana na NHC.
Eneo la Mtoni Kijichi linalomilikiwa na Jumuiya ya Ismailia ambalo lipo katika mpango wa kubadilishana na NHC.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni na Wakurugenzi wenzake wa Bodi ya NHC wakishuhudia eneo hilo  la Mtoni Kijichi linalomilikiwa na Jumuiya ya Ismailia ambalo lipo katika mpango wa kubadilishana na NHC.

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni na Wakurugenzi wenzake wa Bodi ya NHC na wakurugenzi wenzake wakipata maelezo ya mradi wa NHC Kibada maarufu kama Kigamboni Housing Estate namna ulivyotekelezwa hadi kukamilika na changamoto zake.
 Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Issack Peter akifafanua jambo mbele ya Wakurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa.
 Baadhhi ya nyumba za Kigamboni Housing Estate zinavyooneakana sasa.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Blandina Nyoni akiagiza Menejimenti kupanda miti katika miradi mbalimbali inayotekelezwa na Shirika.
 Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Issack Peter akifafanua jambo mbele ya Wakurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa.
 Kituo cha Polisi cha Kibada kilichojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa kwaajili ya kuwahudumia wananchi mbalimbali wa eneo la Kibada kinavyoonekana pichani.
Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Haikamen Mlekio akifafanua jambo mbele ya Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika, Blandina nyoni wakati Bodi hiyo ilipofika katika mradi wa nyumba NHC Mwongozo kuangalia hatua ya ujenzi ulipofikia, Mwenyekiti ameridhishwa sana na kazi ya ujenzi wa na ukarabati wa nyumba hizo pamoja na changamoto mbalimbali zinazoukabili mradi huo kuchelewa kumalizika kwa wakati.
 Ndani ya nyumba moja wapo ya ghorofa (Town House) NHC Mwongozo inavyoonekana katika hatua yake ya umaliziaji. 
 Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Haikamen Mlekio akifafanua jambo mbele ya Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika, Blandina nyoni wakati Bodi hiyo ilipofika katika mradi wa nyumba NHC Mwongozo kuangalia hatua ya ujenzi ulipofikia, Mwenyekiti ameridhishwa sana na kazi ya ujenzi wa na ukarabati wa nyumba hizo pamoja na changamoto mbalimbali zinazoukabili mradi huo kuchelewa kumalizika kwa wakati.

 Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Haikamen Mlekio akifafanua jambo mbele ya Wakurugenzi wa Bodi Ally Laay na Wakurugenzi wenzake wakati Bodi hiyo ilipofika katika mradi wa nyumba NHC Mwongozo kuangalia hatua ya ujenzi ulipofikia, Mwenyekiti ameridhishwa sana na kazi ya ujenzi wa na ukarabati wa nyumba hizo pamoja na changamoto mbalimbali zinazoukabili mradi huo kuchelewa kumalizika kwa wakati.
Mojawapo ya Nyumba za NHC Mwongozo ikiwa katika hatua za mwisho za ukamilishaji.

Comments