Tuesday, November 14, 2017

MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA AAGIZA WAFANYAKAZI NHC KUCHAPA KAZI ILI KUFIKIA MALENGO HARAKA

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na wafanyakazi katika kikao chake cha kawaida ambacho hufanyika mara mbili kwa mwaka na Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa ambapo pamoja na masuala mengine amewataka wafanyakazi hao kuendelea na utamaduni wa kuchapa kazi na kujenga mapenzi mema na Shirika.
Sehemu ya wafanyakazi ikifuatilia mkutano wa Mkurugenzi Mkuu pamoja na wafanyakazi ambapo mambo kadhaa yamezungumzwa.

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na wafanyakazi katika kikao chake cha kawaida ambacho hufanyika mara mbili kwa mwaka na Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa. 

Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu wa Shirika la Nyumba la Taifa, James Rhombo akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa .

Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakifuatilia kwa karibu kikao Mkurugenzi Mkuu cha  kawaida ambacho hufanyika mara mbili kwa mwaka na Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa. 

No comments:

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...