Monday, January 22, 2007

Mahalu

Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu, akitoka kizimbani ambapo alipandishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, kwa makosa sita ya uhujumu uchumi, wizi na kusababisha hasara ya zaidi ya Sh2 bilioni. Picha ya Deus Mhagale.

2 comments:

Simon Kitururu said...

Naombea siku wezi kama hawa watakapo kuwa wanafungika. Inasikitisha kuwa muiba vitumbua mtaani anapigwa mpaka afe lakini wezi kama hawa na kama pesa hiyo anayosehemu anaweza akajinunulia uhuru ata akifungwa.

Anonymous said...

It's the best time to make a few plans for the longer term and it's time to be hаppy.
I've learn this put up and if I may just I want to suggest you few interesting things or suggestions. Maybe you can write subsequent articles regarding this article. I want to learn more things approximately it!

my web site: bravesites.com
Here is my web page - iphone repair

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...