Rais Kikwete na mstaafu Mkapa


Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa. Nchi nyingine ni nadra sana kufanya hivi, akimaliza madaraka Rais anakuwa na mgogoro na anayefuata.

Comments

mloyi said…
Inapendeza, kuwaona wanakaa pamoja wakipeana mawaidha. Tutafurahi kama mawaidha yenyewe yakiwa na pale Mhe. Mkapa alipokosea amfanye Kikwete naye asitumbukie hapohapo.
Mjengwa said…
Picha hii nzuri!