Monday, October 02, 2006

Wamachinga



Mfanyabiashara katika mtaa wa Zanaki akiwa kajishika kicha akisikitika baada la tingatinga la jiji kuanza kubomoa kibanda chake saa 8:30 Usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita katika operesheni ya kuwaondoa wafanyabiashara jijini Dar es Salaam. Picha hii ilipigwa na Edwin Mjwahuzi

1 comment:

luihamu said...

KWANI MR. EBBO KAKOSEA(KAMONGO UMEMFANYANINI PEGERE)?IPO SIKU MVUA YA JAH ITANYESHA.

MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA TEWW

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Oktoba 25, 2025 ni mgeni rasmi katika kongamano la kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Taasisi ya Elimu y...