Dar es Salaam angani



Unapokua angani ukikaribia kutua nchi za wanyonyaji unaona kabisa vijimitaa vimejipanga kama ni barabara unaona na hata ukikaa ghorofani unaiona tofauti hiyo angalia hapa katika picha iliyopigwa na Deus Mhagale namna sehemu hii ya jiji inavyoonekana.

Comments

mloyi said…
Panashangaza hapa, Sijui lini hivyo vibanda vitapotea mjini kwetu! ila woga wangu visije potea na 'waswahili' pia tukapotea mjini! na Dar ikapata wenyeji wapya.
Hahahahaha hapa Mloyi umenifurahisha, aisee ni kweli kabisa haya maisha tunayoishi ndiyo yametufikisha hapa, na haki ya Mungu kama unavyosema baada ya muda vibanda hivi vitakuwa vikipatikana huko pembezoni.

Popular posts from this blog

JESHI LA MAGEREZA NCHINI WAJADILIANA NA NHC NAMNA YA KUENDELEZA MAKAZI MAKAO MAKUU DODOMA

Baraza Jipya la Mawaziri