Tuesday, August 07, 2018

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LATOA ELIMU NANE NANE NYAKABINDI, SIMIYU

 Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Aika Swai akiwaelekeza jambo kwa Wananchi waliofika kwenye banda la maonyesho ya Nane Nane la Shirika la Nyumba Nyakabindi mkoani Simiyu . Maonesho hayo yatafikia kilele chake kesho.
Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Jason Ipyana akitoa maelezo kwa mmoja wa Wananchi waliofika kwenye banda la maonyesho ya Nane Nane la Shirika la Nyumba Nyakabindi mkoani Simiyu . Maonesho hayo yatafikia kilele chake kesho.

 Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Rhobi Wambura akiwaelekeza jambo kwa Wananchi waliofika kwenye banda la maonyesho ya Nane Nane la Shirika la Nyumba Nyakabindi mkoani Simiyu . Maonesho hayo yatafikia kilele chake kesho.

 Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Mwanza, Joseph John katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka

Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Mwanza katika picha ya pamoja na Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka (watatu kutoka kushoto) pamoja na viongozi wengine wa juu wa mkoa baada ya kuzuru viwanja vilivyotengwa kwaajili ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu eneo la Katenga - Isanga wilayani Bariadi. Kusoto ni MC Peter Mavunde ambaye ni mzee maarufu sana nchini na wa pili kutoka kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Nchini (TTCL), Waziri Kindamba.

No comments:

RAIS MWINYI: SMZ KUIMARISHA MFUMO WA KIDIGITALI KATIKA KUDHIBITI AJALI NA MAKOSA YA BARABARANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaendelea kujipanga kuimarisha matumiz...