Wasichana wa kabila la kisukuma wakimkaribisha Shaggy katika viwanja vya Bujoro kabla ya kusimikwa kuwa chifu wa kabila hili.

Wasichana wa kabila la kisukuma wakimkaribisha Shaggy katika viwanja vya Bujoro kabla ya kusimikwa kuwa chifu wa kabila hili.

Chifu  Mark Bomani akiteta jambo la Shaggy alipokuwa katika vwanja kwa Bujora   ambapo kulikuwa na ngoma za msimu wa mavuno ambazo huchezwa ndani ya  siku nane wakisherekea mafanikio ya mavuno.
Kutoka kushoto ni Shaggy akisaliiana na Mark Bomani mara baada ya kufika katika uwanja wa ndege wa jijijni Mwanza.
No comments:
Post a Comment