Daktari Mtanzania atisha Marekani kwa operesheni za Moyo Posted by Vempin Media Tanzania on June 05, 2011 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Dkt. Mohamed Janabi, Profesa wa magonjwa ya moyo na daktari binafsi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimhudumia mgonjwa Cameron Smith katika hospitali ya Medical University of South Carolina (MUSC). Nyuma yake ni Dr. Peter Zwerner, Profesa wa magonjwa ya moyo katika hopsitali hiyo. Dkt. Janabi ambaye ni Profesa wa MUSC alikuwa katika chuo hicho majuzi kwa mafunzo na ufundishaji wa muda katika hospitali hiyo. (Picha imetolewa na Ikulu, Dar es Salaam). Comments
Comments