NIMEPITIA magazeti ya wiki hii nikakuta habari zinazoonekana kama nzito hivi, zinanivutia kichwa chake cha habari, najaribu kuzisoma kwa undani na hata umakini kutokana na kunigusa kwa kiasi kikubwa.
Habari hizo zinazungumzia hatua inazozichukua serikali kunusuru hali mbaya inayoelezwa kusababishwa na wauzaji mafuta.
Nikadhani ni habari moto na nzito hasa. Namaliza kuzisoma naishia kutikisa kichwa. Nasikitika hasa mimi mvuja jasho , nasikitikia wavuja jasho wenzangu wengi tu waliotapakaa hapa nchini wanaoishi kwa taabu na uchungu wakitamani kupotea katika uso wa dunia. Bonyeza hapaupate taarifa kwa kina zaidi.
Comments