Tuesday, July 03, 2007

Ilianza hivi



Mchungaji wa Kanisa la Kianglikana Dayosisi ya Central Tanganyika aliyesimamishwa kutoa huduma katika kanisa hilo,Elia Mbalaga akiwa mikononi mwa walinzi wa kampuni ya ulinzi ya Dodoma Security baada ya kutokea vurugu
katika ibada ya Kipaimara na kusimika wazee wa kanisa wa kanisa kuu la roho mtakatifu. Mchungaji huyo alipelekwa kituo cha polisi kwa ushirikiano na Askari Kanzu. Kanisa la DCT linakabiliwa na matatizo makubwa sana ikiwa ni pamoja baadhi ya waumini wanashinikiza Askofu Mdimi Mhogolo ajiuzulu kwa kile wanachodai kuwa anaunga mkono ushoga kwa kuendelea kupokea misaada toka kwa kanisa la Kianglikana la Marekani (ECUSA) Picha ya Michael Uledi.

No comments:

RAIS NDAITWAH AONDOKA BAADA YA KUKAMILISHA ZIARA YA KITAIFA YA SIKU TATU NCHINI

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt, Netumbo...