Monday, April 16, 2007

Miss Universe Tanzania


Miss Universe Tanzania, Flaviana Francis Matata, katika pozi baada ya kuvishwa taji hilo juzi kwenye Hoteli ya Movenpick Dar es Salaam. Hongera kwa ushindi huu mdogo wangu.

2 comments:

MTANZANIA. said...

Binti! Hongera kwa ushindi. Ushauri wangu kwako ni kwamba kazana na masomo pia kwani dunia ya sasa ELIMU ni muhimu.

Charahani!
Kuna mashindano yoyote ambayo huyu dada ataiwakilisha nchi?

ARAWAY Media Tanzania said...

Okay safi bwana Mtanzania huyu binti bwana atashiriki mashindano ya Dunia ya Miss Universe yatakayofanyika Mexico hivi karibuni.

Makamu wa Rais wa Tanzania Afika Addis Ababa Kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Afrika Kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi

Addis Ababa, Ethiopia – 07 Septemba 2025 – Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango , amewasili leo mjini Addi...