Monday, April 16, 2007

Miss Universe Tanzania


Miss Universe Tanzania, Flaviana Francis Matata, katika pozi baada ya kuvishwa taji hilo juzi kwenye Hoteli ya Movenpick Dar es Salaam. Hongera kwa ushindi huu mdogo wangu.

2 comments:

MTANZANIA. said...

Binti! Hongera kwa ushindi. Ushauri wangu kwako ni kwamba kazana na masomo pia kwani dunia ya sasa ELIMU ni muhimu.

Charahani!
Kuna mashindano yoyote ambayo huyu dada ataiwakilisha nchi?

ARAWAY Media Tanzania said...

Okay safi bwana Mtanzania huyu binti bwana atashiriki mashindano ya Dunia ya Miss Universe yatakayofanyika Mexico hivi karibuni.

Ujumbe wa DRC watoa msaada kituo cha wakimbizi NMC - Kigoma

  Waziri wa Nchi, anayeshughulikia  Masuala ya Ustawi wa Jamii, Hatua za Kibinadamu na Mshikamano kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (D...