JESHI LA MAGEREZA NCHINI WAJADILIANA NA NHC NAMNA YA KUENDELEZA MAKAZI MAKAO MAKUU DODOMA
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa baada ya kikao kirefu kilichozungumzia namna pande hizo mbili zitakavyoweza kushirikiana kuendeleza eneo la Msalato Mkoani Dodoma kwaajili ya kujenga nyumba za makazi za Makamanda watendaji wa Jeshi hilo kwenye makao makuu ya nchi Dodoma. Ujumbe wa Shirika la Nyumba la Taifa ukifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa na ujumbe wake katika kikao kirefu kilichozungumzia namna pande hizo mbili zitakavyoweza kushirikiana kuendeleza eneo la Msalato Mkoani Dodoma kwaajili ya kujenga nyumba za makazi za Makamanda watendaji wa Jeshi hilo kwenye makao makuu ya nchi Dodoma. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa NHC, Pius Tibazarwa na ...
Comments
Masnepu mbona yapo kibao ttu mwanangu yapo katika albamu, lakini ndiyo naanza si unajua tena mwanzo wa ngoma ni lele nimetembelea blogu yako mzee si kawaida inatisha.
Makene mambo vipi kwanza habari ya leo bila shaka ni njema hicho ni kiona mbali kama kile cha marehemu Conrad Dustan na tofauti kati ya hiki na kile ni kule kunasa vijisura vya watu.
Bwana Jk mambo yake si ya kawaida moto anaokwenda nao unatisha.
Lakini lengo langu halikuwa kuiweka hapo nilitaka picha hiyo ikae kama picha binafsi. Hebu nisaidie namna ya kufanya iweze kutinga katika kiboksi.
Hapo ulipofikia Mzee ni karibu sana na unakokutaka. Tafuta kodi za hiyo picha, afu mbele kwa mbele...atakueleza Ndesanjo najua. (Huyu bwana sijui atazawadiwa na nani. Kazi anayofanya du!)
Kuna dalili kuwa nyumba hii itakuwa na picha za hapa na pale. Hiyo kamera sio ya bure. Ni mawingu.