Viongozi na wadau mbalimbali wa sekta ya nishati wamewasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNCC), jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 28, 2026, kushuhudia hafla ya utiaji saini leseni za utafutaji wa mafuta na gesi katika vitalu vya Mnazi Bay North, West Songo Songo, Eyasi Wembere na Lindi–Mtwara.
Mgeni rasmi katika hafla hiyo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi.










No comments:
Post a Comment