Saturday, September 22, 2018

WAZIRI LUKUVI AAGIZA KUKAMILISHWA JENGO LA PARADISE COMMERCIAL COMPLEX KABLA YA NOVEMBA

 Waziri wa Ardhi,  Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  William Vangimembe Lukuvi ameagiza ujenzi wa Jengo la Paradise Commercial Complex ukamilike mapema kabla ya mwezi Novemba ili liweze kufunguliwa kwa matumizi ya ofisi na biashara mapema Desemba mwaka huu. Pia amesifu Shirika la Nyumba la Taifa kwa ujenzi wa jengo hilo kubwa na zuri la aina yake mkoani Katavi.





1 comment:

  Leo Tarehe 29 Juni, 2025 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Said Shaib Mussa am...