Thursday, September 13, 2018

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAKABIDHIWA KANDARASI YA KUJENGA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA EWURA DODOMA

Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Haikamen Mlekio akikabidhiana nyaraka na Meneja wa Kanda wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Injinia Nyiramu Musira wakati viongozi walipokabidiana eneo la Ujenzi la Ofisi ya Makao Makuu ya Mamlaka hiyo jijini Dodoma leo, Shirika la Nyumba limepewa kandarasi ya kujenga jengo hilo lenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 10 ambalo litakuwa makao makuu ya Mamlaka hiyo nchini. NHC imepewa dhamana ya kuusanifu, kujenga na kuusimamia mradi huo.

 Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Haikamen Mlekio na wafanyakazi wengine wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa ndani ya ofisi za NHC Dodoma.

Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa Shirika la Nyumba la Taifa, Haikamen Mlekio na Meneja wa Kanda wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Nyirabu Musira wakielekea kwenye eneo la tukio.
 Watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa na Wale wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Dodoma wakikagua eneo la mradi. 

  Watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa na Wale wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),  Dodoma wakikagua eneo la mradi. 

Watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa na Wale wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Dodoma wakikagua eneo la mradi.  Shirika la Nyumba la Taifa limeusanifu na litaanza kuujenga mradi huo kwa kushirikiana na mkoa kwa muda uliokusudiwa na thamani iliyokusudiwa.

No comments:

*KAMISHNA KUJI AKAGUA ENEO LA KOGATENDE SERENGETI ASISITIZA MAAFISA NA ASKARI UHIFADHI KUENDELEA KUSIMAMIA SHERIA ZA HIFADHI ILI KUIMARISHA SHUGHULI ZA UTALII

Na. Philipo Hassan - Serengeti Kamishna wa Uhifadhi, Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) CPA Musa Nassoro Kuji, leo Julai 24, 2025...