Wednesday, September 26, 2018

NHC YAVUMA KWENYE MAONYESHO MKUTANO MKUU WA 34 WA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA (ALAT) DODOMA

Meneja wa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi akijadiliana jambo na  mmoja wa wadau aliyetembelea banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa kabla ya kufanyika ufunguzi rasmi kesho wa Mkutano Mkuu wa 34 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.
Wadau mbalimbali waliotembelea banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa kabla ya kufanyika ufunguzi rasmi kesho wa mkutano mkuu wa 34 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa halmashauri ya Babati H. MALINGA akiweka saini katika kitabu cha wageni alipotembelea katika banda letu la maonesho NHC Katika viunga vya Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.
Mmoja wa wadau aliyetembelea banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa akitia saini kitabu cha wageni kabla ya kufanyika ufunguzi rasmi kesho wa mkutano mkuu wa 34 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma, anayeshuhudia ni Meneja wa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi .


Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mariam Chisumo akijadiliana jambo na  mmoja wa wadau aliyetembelea banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa kabla ya kufanyika ufunguzi rasmi kesho wa mkutano mkuu wa 34 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.

 Meneja wa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi akijadiliana jambo na  mmoja wa wadau aliyetembelea banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa kabla ya kufanyika ufunguzi rasmi kesho wa mkutano mkuu wa 34 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.
Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Mariam Chisumo akijadiliana jambo na  mmoja wa wadau aliyetembelea banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa kabla ya kufanyika ufunguzi rasmi kesho wa mkutano mkuu wa 34 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.

No comments:

JETOUR G700 YAJITOKEZA KWA UWEZO MKUBWA KWA MAZINGIRA YA AFRIKA

  Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam JETOUR Tanzania imezindua rasmi JETOUR Club pamoja na kutambulisha magari mapya ya JETOUR G700 na F700, i...