Shirika
la Nyumba la Taifa limeendelea kutekeleza ahadi yake ya kuunga mkono
uamuzi wa serikali wa kuhamia Dodoma kwa kujenga nyumba kwa ajili ya
watumishi wa serikali baada ya kuendelea na nyumba zingine 150 kati ya
300 lililojiwekea lengo la kuzikamilisha mapema
mwakani, pichani zinaonekana nyumba hizo za awamu ya pili zikiwa katika
awamu ya uezekaji.
Comments