NHC ILIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA MEI MOSI NCHINI

Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa makao makuu wakipita mbele ya jukwaa la mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani iliyofanyika kimkoa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na kitaifa yalifanyika mkoani Iringa.
 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa makao makuu wakiingia katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana.
 Wakiwa katika gari la maonyesho kwenye viwanja vya Uhuru jijini Dar es Salaam.

  Wakiwa katika gari la maonyesho kwenye viwanja vya Uhuru jijini Dar es Salaam.

  Wakiwa katika gari la maonyesho kwenye viwanja vya Uhuru jijini Dar es Salaam.
 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa njiani kuelekea uwanja wa uhuru kuadhimisha siku ya wafanyakazi Duniani.

 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa njiani kuelekea uwanja wa uhuru kuadhimisha siku ya wafanyakazi Duniani.
 Shangwe zikiendelea kwenye uwanja wa Uhuru 
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi Tamico akiongoza timu yake ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba mkoani Iringa kusherehekea siku ya wafanyakazi Duniani ikliyofanyika kitaifa mkoani Iringa.
Mei Mosi Iringa.
  Shangwe zikiendelea kwenye maadhimisho hayo mkoani Lindi .

 Shangwe zikiendelea kwenye uwanja wa Samora.

 Maadhimisho mkoani Lindi shangwe zikiendelea.

Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Mara wakiandamana kusherehekea siku ya wafanyakazi duniani jana.

 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Mara wakiandamana kusherehekea siku ya wafanyakazi duniani jana.

Comments