Friday, May 25, 2018

KAIMU MKURUGENZI MKUU AAGIZA MAREKEBISHO YA KODI NHC KONGWA ILI NYUMBA ZIPANGISHWE KULIINGIZIA MAPATO SHIRIKA

 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Manyama Maagi akielekea kwenye mojawapo ya nyumba za makazi za NHC Kongwa leo asubuhi.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Manyama Maagi akielezwa jambo na Meneja wa NHC mkoa wa Dodoma,  Joseph John wakati Kaimu Mkurugenzi Mkuu alipofanya ziara kwenye nyumba za makazi za gharama nafuu Kongwa.  Kaimu Mkurugenzi Mkuu ameagiza kurekebishwa kwa kiwango cha kodi cha nyumba hizo ili ziweze kupangishika na kuliongezea Shirika mapato.
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Manyama Maagi akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa NHC mkoa wa Dodoma  wakati Kaimu Mkurugenzi Mkuu alipofanya ziara kwenye nyumba za makazi za gharama nafuu Kongwa.  Mkurugenzi Mkuu ameagiza kurekebishwa kwa kiwango cha kodi cha nyumba hizo ili ziweze kupangishika na kuliongezea Shirika mapato.
 Nyumba za makazi za gharama nafuu NHC Kongwa znavyoonekana kwa sasa zipo nyumba 44, za vyumba vitatu na viwili zilizokamilika tayari kwa matumizi ya makazi ya watu.

  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Felix Manyama Maagi akielekea kwenye mojawapo ya nyumba za makazi za NHC Kongwa leo asubuhi. Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara, William Genya akieleza jambo wakati wa ziara hiyo iliyofanyika leo asubuhi kwenye makazi hayo ya gharama nafuu.Post a Comment