Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu, Mzee Ally Hassan Mwinyi.
Makamu wa Rais, Bi Samia Suluhu Hassan (mwenye miwani), Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi wengine wakiwa kwenye hafla hiyo.
Mgeni Rasmi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akiwasili Uwanja wa Amani kwa ajiri ya sherehe hiyo.
Dkt. Ali Mohammed Shein akikagua gwaride.
Baadhi ya vijana waliofika uwanjani hapo wakipita na mabango mbele ya wageni.
Baadhi ya viongozi wa serikali waliohudhuria sherehe hiyo.
Comments