Monday, July 18, 2011

Umeme wa Mtera nomaa kweli kweli


Mhandisi Mkuu Mwendeshaji wa kituo cha kuzalisha umeme cha Mtera, Julius Chomolla akiwaeleza waandishi wa habari jinsi kina cha maji kilivyopungua katika bwawa la Mtera na kusababisha uzalishaji wa umeme kupungua, walipotembelea kituo hicho kiilichopo mpakani mwa mkoa wa Dodoma na Iringa.

2 comments:

emu-three said...

Tatizo hata maji yakijaa tunaambiwa matope yameongezeka,...cha muhimu ni kutafuta mbadala, kwani ukiwa na kampuni moja ambayo inatagemewa na kila mtu bila ya ushandani kunakuwa hakuna mabadiliko ..!

Vimax Canada said...

thanks for sharing, i like this information

WIZARA YA AFYA YAOMBA SH. TRILIONI 1.8 BAJETI YA 2026/2027

  Wizara ya Afya imeomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi trilioni 1.8 kwa mwaka wa fedha 2026/2027 kwa ajili ya kuendelea kuboresha huduma z...