Diamond akitumbuaiza na bibie Wema Sepetu



Msanii wa bongo flava Diamond akitumbiza na muigizaji Wema Sapetu wakati wa tamasha la muziki la fiesta lililofanyika uwanja wa Jmahuri mkoani Morogoro juzi. Picha Juma Mtanda.

Comments

emu-three said…
Safi saana, imekaa vyema kama itakwenda vyema, twawatakia kila-laheri!