Mhandisi Mkuu Mwendeshaji wa kituo cha kuzalisha umeme cha Mtera, Julius Chomolla akiwaeleza waandishi wa habari jinsi kina cha maji kilivyopungua katika bwawa la Mtera na kusababisha uzalishaji wa umeme kupungua, walipotembelea kituo hicho kiilichopo mpakani mwa mkoa wa Dodoma na Iringa.
Comments