Antena


Hizi antena zimeingia kwa kasi bongo moja inauzwa hadi 30,000. zinaona hizooo.

Comments

Anonymous said…
Hawa jamaa hizi antenna zao nimeshuhudia zinafanya kazi kinoma ingepaswa wapewe nyenzo na mitaji wangefanya maajabu tu.