Friday, May 02, 2025

HOTUBA BAJETI YA WIZARA YA MADINI 2025/26 💼🔥






















Watendaji, watumishi, wageni, wananchi na wadau mbalimbali wa Sekta ya Madini wamewasili katika Viwanja vya Bunge,  Jijini Dodoma kwa ajili ya kufuatilia Uwasilishaji wa Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2025/2026 unaowasilishwa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde,  leo Mei 2, 2025

No comments:

🔴🔴HIFADHI YA MPANGA-KIPENGERE YAENDELEA KUWA LULU YA VIZAZI VIJAVYO

  📍Wanafunzi wa Nyanda za Juu Kusini Wapiga Kambi Kujifunza na Kutali  Na Beatus Maganja, Njombe. Wahenga walioshiba tunu za uhifadhi na ut...