Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akishiriki katika mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa CCM
Wilaya ya Liwale, Marehemu Kindamba Milingo yaliyofanyika katika
makaburi ya Nanganda Liwale, Lindi Januari 8, 2025. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)Vijana wa CCM wakiwa wamebeba
mwili wa Mwenyekiti wa CCM wa zamani wa wilaya ya Liwale, marehemu
Kindamba Milingo katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi
ya Nanganda Liwale Mkoa wa Lindi, Januari 8, 2025. Mjumbe wa Kamati
Kuui ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
alishiriki katika mazishi hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa Kassim
Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mwenyekiti wa
zamani wa CCM Wilaya ya Liwale, Marehemu Kindamba Milingo alipowasili
nyumbani kwa marehemu, Kindamba Milingo kushiriki katika mazishi
yaliyofanyika kwenye makaburi ya Nanganda Liwale Mkoa wa Lindi Januari
8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa Kassim
Majaliwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi Hassan Jarufu (wa pili
kushoto) pamoja na waombolezaji wakishiriki katika mazishi ya
Mwenyekiti wa zamani wa CCM wilaya ya Liwale yaliyofanyika katika
makaburi ya Nanganda Liwale mkoa wa Lindi, Januari 8, 2025. Kulia ni
Mtoto wa marehemu, Habibu Kindamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza
katika mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa CCM wilaya ya Liwale,
marehmu Kindamba Milingo yaliyofanyika katika makaburi ya Nanganda
Liwale, Januari 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
RC CHALAMILA ATOA SIKU SABA KWA MUAFAKA WA MGOGORO WA ARDHI TOANGOMA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa muda wa siku saba kwa wadau wanaohusika na mgogoro wa muda mrefu wa ardhi katik...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
-
Nadhani mtakumbuka kibwagizo maarufu katika TV ambacho kinaimbwa perupe pepero perupe pepero hawa ni vijana wa Sisi Tambala waliokuwapo kati...
-
Mdau Julius Samwel hivi karibuni alikuwa huko Mwanza na hizi ndizo alizofanikiwa kutumegea, wadau hebu someni hicho kibao mniambie kuna nini...





No comments:
Post a Comment