Friday, September 20, 2024

DKT. NCHEMBA AMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA AFRIKA50 MADAGASCAR

Waziri wa Fedha. Mhe Dkt. Mwigulu Lamewck Nchemba Madelu (Mb), akihutubia, kwa niaba ya Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika Mkutano wa Mwaka wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 na Jukwaa la Miundombinu la Afrika Taasisi ambayo Tanzania ni mwanachama, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Ivato, mjini Antananarivo nchini Madagascar. Mkutano ulioangazia masuala ya ujenzi na ufadhili wa miundombinu pamoja na matumizi ya nishati safi ya kupikia.
Waziri wa Fedha. Mhe Dkt. Mwigulu Lamewck Nchemba Madelu (Mb), Akiimba Wimbo wa taifa la Madagascar, alipomwakilisha Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Mwaka wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 na Jukwaa la Miundombinu la Afrika Taasisi ambayo Tanzania ni mwanachama, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Ivato, mjini Antananarivo nchini Madagascar. Mkutano ulioangazia masuala ya ujenzi na ufadhili wa miundombinu pamoja na matumizi ya nishati safi ya kupikia.

 Waziri wa Fedha. Mhe Dkt. Mwigulu Lamewck Nchemba Madelu (Mb) (kushoto) akiwa na Rais wa Madagascar, Mhe. Andry Rojaelina (katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Africa50, ambaye pia ni Rais wa Benki ya Maendeleo ya Africa (AfDB), Dkt. Akwinumi Adesina baada ya Rais huyo kufungua rasmi  Mkutano wa Mwaka wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 na Jukwaa la Miundombinu la Afrika Taasisi ambayo Tanzania ni mwanachama, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Ivato, mjini Antananarivo nchini Madagascar. Mkutano ulioangazia masuala ya ujenzi na ufadhili wa miundombinu pamoja na matumizi ya nishati safi ya kupikia. Mhe. Dkt. Nchemba, alipomwakilisha Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano huo (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha, Antananarivo, Madagascar

No comments:

BILIONI 51 KUTUMIKA UJENZI WA BARABARA, MASOKO NA STENDI JIJINI ARUSHA

Mradi wa Uendelezaji wa Miji na Majiji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 51 katika Jiji la Arusha ikiwa...