Wednesday, September 13, 2006

Hayawi hayawi sasa yamekuwa

Nasema kumekucha jogoo limekwishawika huku mwananchi tumeshaingia hewani jamani, kwa habari za kitaifa, kimataifa, biashara na michezo na makala zilizosadifiwa na kuandikwa na watu wenye fikrapevu, wenye upeo mpana sana katika maisha ya jamii ya kitanzania unaweza kutupata kwa kubonya hapa tupo katika majaribio na tutaanza rasmi muda si mrefu!!

6 comments:

Jeff Msangi said...

Kaka,
Naona bado mambo hayajatulia au webmaster analeta gozigozi.Bado sijaweza kufungua hiki kiungo muhimu kwenye ulimwengu wa habari.

Vempin Media Tanzania said...

ni kweli kaka Jeff huyu webmaster jana kachomoa gazeti mtandaoni akidai eti bado lakini nadhani kuanzia Jumatatu mambo yatakuwa supa .

Maisha said...

da!siku nyingi sijatembelea blog yako charahani...sitapotea tena...

Vempin Media Tanzania said...

karibu saaaana ndugu yangu maisha nipo hapa

NDABULI said...

Nashukuru sasa yamekuwa hivi bado mko pamoja na Express au?

Vempin Media Tanzania said...

Hapana Mzee Mwananchi ni Mwananchi tu . Ile ya zamani lilinunuliwa jina na sasa ni kampuni inayojitegemea inaitwa mwananchi communications LTD iko Tabata relini ni subsidiary ya Nation Media Group

RAIS SAMIA ASHIRIKI NA KUTUNUKU TUZO ZA WASANII WA KOMEDI TANZANIA 2025

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki kama mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasa...