Thursday, July 20, 2006

Kihesa Iringa kilima kinaonekana kwa mbaali.

3 comments:

Rashid Mkwinda said...

Unajua Ustaadh Bin Charahani hapa umenikumbusha mbali nadhani hapa ulisimamia upande wa Gangilonga au Kihesa Kilolo,unajua nasema hivi kwa sababu gani niliwahi kuishi pale ile miaka ya sabini.

Nakikumbuka chuo cha Kleruu pale tulikuwa tukifanya mazoezi ya sarakasi na KUNGFU chini ya Mwalimu wetu Kundya.

Eee Bwana picha hiyo ya madhari ya Kihesa na Iringa imenikumbusha mbali sana, unajua kwa upande huu kuna ile shule ya sekondari ya Highland,na upande wa pili kuna shule ya Sekondari ya Lugalo halafu kwa juu hivi kuna shule ya sekondari ya Wilolesi.

Rashid Mkwinda said...

Unajua Ustaadh Bin Charahani hapa umenikumbusha mbali nadhani hapa ulisimamia upande wa Gangilonga au Kihesa Kilolo,unajua nasema hivi kwa sababu gani niliwahi kuishi pale ile miaka ya sabini.

Nakikumbuka chuo cha Kleruu pale tulikuwa tukifanya mazoezi ya sarakasi na KUNGFU chini ya Mwalimu wetu Kundya.

Eee Bwana picha hiyo ya mandhari ya Kihesa na Iringa imenikumbusha mbali sana, unajua kwa upande huu kuna ile shule ya sekondari ya Highland,na upande wa pili kuna shule ya Sekondari ya Lugalo halafu kwa juu hivi kuna shule ya sekondari ya Wilolesi.

mzee wa mshitu said...

Haswaaa ustaadhi wangu uliyosema wallahi ni ya kweli na hayana shaka huku upande wa kulia ni upande shule ya sekondari ya Highland. Nashuku kwa kupita kwako hapa karibu ndugu yangu na gahawa pia ipo.