Wednesday, July 03, 2013

Rais Jakaya Kikwete Alivyomwandalia Rais wa Marekani Barack Obama na Mkewe Michelle Obama Dhifa Ya Kitaifa IKULU

 Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakiangalia bendi ya polisi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho kikwete. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Serikali ya Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barak Obama wa Marekani kwa Mawaziri wakuu wastaafu pamoja na viongozi wengine wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia mgeni huyo Jumatatu usiku Ikulu jijini Dar es salaam, Pichani Akimsalimia Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barak Obama wa Marekani kwa Mawaziri wakuu wastaafu pamoja na viongozi wengine wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia mgeni huyo Jumatatu usiku Ikulu jijini Dar es salaam. Pichani akimsalimia Waziri Mkuu Mstaafu na Katibu mkuu mstaafu wa OAU Dr Salim Ahmed Salim
 Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakiangalia ngoma za utamaduni pamoja na bendi ya polisi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho kikwete. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Serikali ya Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wageni wake Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakati wa dhifa ya kitaifa aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Usiku. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein na Kulia ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha wageni wake Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakati wa dhifa ya kitaifa aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Usiku. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein na Kulia ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda
Rais Barack Obama wa Marekani akimshukuru Rais Jakaya Kikwete  wakati wa dhifa ya kitaifaaliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Usiku. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein na Kulia ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda.Picha na IKULU

Tuesday, July 02, 2013

Rais Wa Marekani Barack Obama akiwasili Nchini Tanzania


 
Mhe. Rais Kikwete na Mhe. Rais Obama wakitembea kwa pamoja
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mgeni wake Mama Michelle  Obama muda mfupi baada ya kuwasili kwa Rais Obama nchini kwa ziara ya siku mbili nchin.
 Mhe. Rais Obama akiongozana na Mkuu wa Majeshi wa Tanzania, Jenerali Davis Mwamunyange  mara baada ya kukagua gwaride la heshima.
Mhe. Rais Obama akikagua Gwaride la Heshima
 Mhe. Rais Obama na Mhe. Rais Kikwete wakisikiliza nyimbo za Mataifa yao zilizopigwa kwa Heshima ya Rais Obama.
 Mhe. Ali Mohammed Shein, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Mizengo Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete, Mama Michelle Obama  na Viongozi wengine wa Serikali wakiwa Uwanjani hapo wakati wa mapokezi.
Mhe. Rais Obama akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mkewe Mhe. Mama Salma Kikwete na Mama Michelle mara baada ya kupokelewa.
 Rais Dkt.Jakaya Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Barrack Obama wa Marekani muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana.nyuma ya Rais na mgeni wake ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na mke wa Rais wa Marekani Mama Michelle Obama.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama wa Marekani Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana.Huku Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama Wakiangalia
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama wa Marekani Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana.Huku Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na Mke wa Rais wa Marekani Michelle Obama Wakiangalia
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama wa Marekani makamu wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi muda mfupi baada ya Rais huyo wa Marekani  kuwasili nchini kwa Ziara ya kikazi ya siku mbili.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Barrack Obama Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Padu Ameir Kificho katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere leo mchana.Picha na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Freddy Maro-IKULU

Rais Barack Obama Wa Marekani Alivyolakiwa Kwa Shangwe IKULU Jijini Dar es Salaam


 Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama akipokewa kwa Shangwe Ikulu, Dar es salaam na baadaye akaongea na wanahabari.
 Rais Kikwete akiwa ameambatana na mgeni wake,Rais wa Marekani,Barack Obama,wakati wakielekea kuzungumza na wanahabari Ikulu,jioni ya leo.
 Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama akipokewa kwa Shangwe Ikulu, Dar es salaam na baadaye akaongea na wanahabari.
Raisi Barack Obama wa Marekani na Raisi Kikwete wa Tanzania wakijibu baadhi ya Maswali kutoka Kwa waandishi wa habari waliohudhuria mkutano uliofanywa na Raisi Obama na Kikwete Mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar leo Mchana.Picha na Issa Michuzi-IKULU

Monday, July 01, 2013

Maandalizi Ya Mapokezi Ya Rais Wa Marekani Barack Obama Nchini Tanzania

Taswira mbalimbali zinazoonesha maandalizi ya mapokezi makubwa ya Rais wa Marekani Barack Obama atapowasili Ikulu jijini Dar es salaam mchana huu. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama ilivyo kawaida yake amepita kila mahali kuangalia kwamba mambo yanaenda mswano, ikiwa ni pamoja na kusaliamiana na makundi ya wananchi wa Dar es salaam walioko katika lango kuu la Mashariki.Picha na IKULU

Minister for Foreign Affairs and International Co-operation Bernard Membe bids farewell to Sri Lanka President Rajapaksa,former Prime Minister of Malaysia,Prime Minister of Algeria after participating in the 2013 Global Smart Partnership Dialogue


H.E. President Mahinda Rajapaksa of Sri Lanka says goodbye to the Dar es Salaam  Regional Commissioner Saidi Meck Sadik.
 President Rajapaksa says goodbye to Ambassador Mbelwa Kairuki, Director of the Department of Asia and Australasia in the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation.
 President Rajapaksa says goodbye to Mr. Omary Mjenga, Assistant Director of the Department of Asia and Australasia in the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation.
 President Rajapaksa says few words to Hon. Membe prior to his departure yesterday at the Mwalimu Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam.
 President of Sri Lanka Mahinda Rajapaksa says goodbye to Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation.  Witnessing the occasion is Vice President Dr. Mohammed Gharib Bilal and Hon. Mahadhi Juma Maalim (MP), Deputy Minister for Foreign Affairs and International Co-operation.
H.E. Mahinda Rajapaksa, President of the Democratic Socialist Republic of Sri Lanka waving various entertainment dancers who came to see him off after his State Visit tour and participation at this year 2013 Global Smart Partnership Dialogue came to an end.  Walking side-to-side with President Rajapaksa is Vice President Dr. Mohammed Gharib Bilal (right) who was there on behalf of President Jakaya Mrisho Kikwete of the United Republic of Tanzania.  Also in the photo is Dar es Salaam Regional Commissioner Saidi Meck Sadik (left).  President Rajapaksa left yesterday at the Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam.
 Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation receives Tun Dr Mahathir Mohamad, former Prime Minister of Malaysia, who is also a Commonwealth Partnership for Technology Management (CPTM) Fellow Emeritus and Companion.  Tun Dr. Mohamad has cooperated with a number of African leaders to articulate the aims of the movement in achieving national visions, inclusivity through financial inclusion, quality and standards as well as innovation.  

 Tun Dr. Mohamad is received by Mr. Omary Mjenga, Assistant Director of the Department of Asia and Australasia in the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation.

 Hon. Minister Membe (2nd left), walks former Prime Minister of Malaysia Dr. Mahathir Mohamad to the VIP Room at the Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam.   Dr. Mohamad has been participating in the 2013 Global Smart Partnership Dialogue held from June 28, 2013 at the Mwalimu Nyerere Convention Centre in Dar es Salaam.


Hon. Membe, Dr. Mohamad and Dar es Salaam Regional Commissioner Saidi Meck Sadik exchange views while walking towards a plane that Dr. Mohamad and his beloved wife were going to board to head back to Malaysia.
 Hon. Minister Membe wishes a bon voyage to Algerian Prime Minister Abdelmalek Sellal.

 Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation welcomes H.E. Abdelmalek Sellal, Prime Minister of Algeria upon his arrival at Julius Nyerere International Airport prior to his departure.  Prime Minister Sellal has been in the country attending the 2013 Global Smart Partnership Dialogue held since June 28, 2013 at the Mwalimu Nyerere Convention Centre in Dar es Salaam.  Right is H.E. Ambassador Djellol Tabet of Algeria to the United Republic of Tanzania.


Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation greets H.E. Djellou Tabet of Algeria to the United Republic of Tanzania yesterday at the Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam.
 Prime Minister Sellal gets introduced to Mr. Omary Mjenga, Assistant Director of the Department of Asia and Australasia in the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation. 

 Prime Minister of Algeria exchanges fews words and laughters with Hon. Minister Membe and the Algeria Ambassador in Tanzania.  Right is H.E. Ambassador Djellou Tabet of Algeria.

Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation walks off H.E. Abdelmalek Sellal, Prime Minister of Algeria as he is getting set to depart back to his country. All photos by Tagie Daisy Mwakawago-Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation

MTUHUMIWA WA “KUFUTA MADENI” YA MIKOPO AKIRI KOSA, AHUKUMIWA KIGOMA

KIGOMA, Septemba 4, 2026 — Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imemhukumu Nicholaus Komba Mahitana maarufu kama Abdallah Mahimbo baad...