Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba (NHC), David Shambwe (Kushoto) akifafanua jambo kwenye mkutano na waandishi wa habari katika uzinduzi wa mauzo ya nyumba za Shirika hilo zilizopo Levolosi, Arusha Tanzania, aliyeambatana naye ni Yahya Charahani ambaye ni Meneja Mawasiliano wa NHC.
Monday, September 10, 2012
Uzinduzi wa mauzo ya nyumba za NHC Levolosi
Tuesday, September 04, 2012
Jamani jamani hivi nchi yetu tunaipeleka wapi?
Askari (kushoto), anaonekana kumwelekezea mtutu tumboni.
Jamani hebu angalieni mauaji haya ya kutisha ya Mwandishi wa Habari Daud Mwangosi, hakika ni tukio lisilokubalika na la kusikitisha duniani na hata mahala pengine kokote kule. Hivi tujiulize chanzo cha mauaji haya, kwanini Polisi watumie nguvu na kwanini pia wananchi wawalazimishe polisi watumie nguvu. Na je hivi wanaosababisha maafa haya yote kwanini wasichukuliwe hatua kali.
Inawezekana kabisa viongozi watawala, mihimili ya dola nayo imekuwa wapole saana natamani Watanzania wangeona kazi ya (ukatili) wa POLISI wa KENYA au
SOUTH AFRICA . wangewaheshimu sana Polisi wetu na kusingetokea haya
yanayotokea katika hizo nchi polisi hana muda hata kidogo wa
kubishana na raia.
Tanzania sasa hivi tunajenga utamaduni wa ajabu wa kila mmoja kuwa kambale, zinapozungumza mamlaka halali za nchi wananchi wanapinga na wakati mwingine wanapozungumza raia halali wa nchi na pengine madai halali, mamlaka zinapinga sijui utamaduni huu utatufikisha wapi???? Matokeo yake ni kwamba nchi inakuwa kama soko kila mtu anasema lake ni hatari mnooo.
Monday, September 03, 2012
A BRAND NEW 4 BEDROOM HOUSE FOR RENT AT GAZAULOLE, KIGAMBONI.
A BRAND NEW 4 BEDROOM HOUSE FOR RENT AT GAZAULOLE, KIGAMBONI. (PRICE $2500)
1. 4 Bedrooms/2 Bedrooms Ensuite including Master
Bedroom.
2. The House has seven brand new AC’s (each bedroom
and reception rooms).
3. Water Heaters on each bathroom.
4. Two Large Reception rooms.
5. Boys Quarter. (One room with bathroom & toilet)
6. A Garage to park two cars.
7. 10,000 LTRS Water Tank Reserve.
8. Well tended Garden.
NB: This house has been completely refurbished to a
very high standard with modern décor
PLEASE GET IN TOUCH WITH US BY PHONING
0685881882 AND 0718900800
Sunday, August 19, 2012
BENKI YA KCB TANZANIA YATOA MKONO WA EID KWA VITUO SITA VYA KULELEA YATIMA
Mkurugenzi wa benki ya KCB Tanzania Bw. Nikubuka Shimwela (kulia) akiwakabidhi msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya sikukuu ya Idd watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha Yatima Group Trust Fund cha Mbagala jijini Dar es Salaam. kushoto ni Mjumbe wa bodi wa benki hiyo Bi. Zuhura Muro.

Mkurugenzi wa benki ya KCB Tanzania, Bw.Nikubuka Shimwela, (kulia) akimkabidhi Mkuu wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Al-Madina Children Home kilichopo Tandale jijini Dar es Salaam, msaada wa ndoo ya mafuta ya kupikia ikiwa ni sehemu ya vyakula mbalimbali vilivyotolewa na benki hiyo kwa ajili ya sikukuu ya Idd, katikati ni Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano wa benki hiyo Bi.Christina Manyenye.

Meneja wa benki ya KCB Tanzania tawi la Kariakoo jijini Dar es Salaam,Bw.Clement Mwanzalima,akimkabidhi Mlezi wa kituo cha kulea watoto yatima cha Hissani cha Mbagala jijini Dar es Salaam,Idaya Shukrani msaada wa boksi ya sabuni ulioambatana na vyakula mbalimbali kwa ajili ya watoto wa kituo hicho kusherehekea sikukuu ya Idd.
SALAAM ZA IDDI KUTOKA TAWI LA CHADEMA UINGEREZA
Rais Kikwete katika swala ya Eid Kinondoni Muslim leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Meya wa Manispaa ya
Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda wakati alipowasili katika msikiti wa
Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam kwa ajili ya Swala ya Idd leo
Agosti 19, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa wakati alipowasili katika
msikiti wa Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam kwa ajili ya Swala ya
Idd leo Agosti 19, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa miongoni wa waumini kusikiliza
mawaidha kutoka kwa Sheikh Abubakar Zubeir katika msikiti wa Kinondoni
Muslim jijini Dar es salaam baada ya ya Swala ya Idd leo Agosti 19,
2012
Sunday, July 22, 2012
Familia ya Mzee wa Mshitu yaongezeka
Anaitwa Nima Charahani mtoto wa familia ya Mzee wa Mshitu akiwa katika pozi nyumbani kwao Kimara Suca mchana huu.
Subscribe to:
Posts (Atom)
MTUHUMIWA WA “KUFUTA MADENI” YA MIKOPO AKIRI KOSA, AHUKUMIWA KIGOMA
KIGOMA, Septemba 4, 2026 — Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imemhukumu Nicholaus Komba Mahitana maarufu kama Abdallah Mahimbo baad...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
-
Nadhani mtakumbuka kibwagizo maarufu katika TV ambacho kinaimbwa perupe pepero perupe pepero hawa ni vijana wa Sisi Tambala waliokuwapo kati...
-
Mdau Julius Samwel hivi karibuni alikuwa huko Mwanza na hizi ndizo alizofanikiwa kutumegea, wadau hebu someni hicho kibao mniambie kuna nini...









