Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Maulidi Banyani leo amekutana na Mkurugenzi wa jiji la Dodoma, Godwin Kunambi na kujadiliana maeneo mbalimbali ya ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili yakiwemo ya uwekezaji katika maeneo ya kimkakati jijini humo. Mkurugenzi huyo ameeleza imani yake kubwa kwa Shirika na akahimiza NHC iwekeze zaidi katika ujenzi wa majengo ya kati na ya juu.
Mkurugenzi wa jiji la Dodoma, Godwin Kunambi
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Maulidi Banyani akikaribishwa na Mkurugenzi wa jiji la Dodoma, Godwin Kunambi.
Mkurugenzi wa jiji la Dodoma, Godwin Kunambi
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Maulidi Banyani akikaribishwa na Mkurugenzi wa jiji la Dodoma, Godwin Kunambi.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk Maulidi Banyani akiendelea na mjadala na Mkurugenzi wa jiji la Dodoma, Godwin Kunambi.
Comments